Assalam alaykum warahmatullahi wabarakatuh,karibu katika blog ya misha.Humu utajionea mambo mbalimbali ambayo tutakuwa tukikumbushana kuhusiana na dini ya kiisilamu,afya.,siasa,urembo na masuala mbalimbali yalioizunguuka jamii kwa ujumla.
Mwenye wasaa atoe kadiri ya wasaa wake, na mwenye dhiki atoe katika alicho mpa Mwenyezi Mungu. Mwenyezi Mungu hamkalifishi mtu ila kwa kadiri ya alicho mpa. Mwenyezi Mungu atajaalia baada ya dhiki faraji.
No comments:
Post a Comment